![]() |
Waziri mkuu wa Ugiriki Alexi Tsipras na Rais wa baraza la Ulaya Donald Tusk |
Amesema kuwa wahamiaji haramu wa
kiuchumi wanahatarisha maisha na fedha zao.
Bwana Tusk yuko ziarani Ugiriki na
Uturuki ili kujaribu kupata makubaliano ya kupunguza ongezeko la wahamiaji
wanaoelekea magharibi.
Zaidi ya wahamiaji 25,000 wamewachwa
bila makao nchini Ugiriki kupitia kuimarisha udhibiti wa mipaka na kuongeza
hofu ya mgogoro wa kibinaadamu.
![]() |
Wahamiaji |
Siku ya Alhamisi ,kundi la wahamiaji
liliziba barabara moja ya reli katika upande wa mpaka wa Ugiriki unaopakana na
Macedonia ili kupinga vikwazo hivyo.
Masharti hayo yaliafikiwa baada ya
Austria na mataifa mengine ya kuvunjika kwa Urusi kuamua kuwaruhusu wahamiaji
wa Syria na Iraqi kupitia nchi zao.
Hatua hiyo iliwazuia maelefu ya raia
wanaotaka kuingia Ulaya bila vibali,ikiwemo raia wa Afghanistan pamoja na wale
wanaodaiwa kuwa wahamiaji wa kiuchumi.
Chanzo
bbc
No comments:
Post a Comment